• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hazina imeinua lengo lake la kukopa kwa mwaka wa kifedha unaoisha Juni 2019 na Sh bilioni 78 baada ya kukusanya mapato ya chini kwa kipindi cha miezi mitano hadi Novemba 2018.

  (GMT+08:00) 2019-01-15 20:58:59
  Hazina imeinua lengo lake la kukopa kwa mwaka wa kifedha unaoisha Juni 2019 na Sh bilioni 78 baada ya kukusanya mapato ya chini kwa kipindi cha miezi mitano hadi Novemba 2018.

  Waziri wa fedha Henry Rotich amesema katika rasimu ya mwaka 2019 Taarifa ya Sera ya Bajeti (BPS) kwamba lengo la kukopa nje kwa mwaka wa sasa wa fedha imeongezeka kwa Sh bilioni 34 hadi Sh

  Mkopo mpya unamaanisha madeni ya Kenya yataongezeka kwa Sh bilioni 631.5 kabla ya kuoingeza mikopo iliyochukuliwa na mashirika mengine ya Serikali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako