• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania Uzalishaji wa dhahabu katika mgodi wa buzwagi wa mwaka 2018 washuka kwa asilimia 51 ikilinganishwa na mwaka uliopita.

  (GMT+08:00) 2019-01-15 20:59:56

  Uzalishaji huo ulishaka baada ya kupatika mawe yenye dhahabu kidogo ndani yake.

  Taarifa iliyotolewa jana na kampuni ya uchimbaji madini Acacia ya robo ya nne kwa mwaka 2018

  Imeonyesha mabadiliko ya kupanda na kushuka kwa uzalishaji wa dhahabu katika migodi yake mitatu

  Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Acacia Peter Geleta amesema katika kipindi cha miezi 12 iliyopita kampuni hiyto imengiza mapato ya dola milioni 88 za marekani sawa na sh bilioni 19 ya Tanzania.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako