• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TENISI: Kichapo cha Serena chasababisha Mjerumani kumwaga chozi

    (GMT+08:00) 2019-01-16 08:36:40
    Nyota wa Tenisi duniani Serena Williams amemshinda mpinzani wake Tatjana Maria kwenye mashindano ya tenisi ya wazi ya Australia huku akiaga mashindano hayo kwa kumwaga machozi.

    Serena ambaye ni bingwa wa mashindano hayo kwa mara ya saba, alitumia dakika 49 kumshinda mpinzani wake ambaye seti ya kwanza hakuambulia kitu.

    Mjerumani huyo kwenye seti ya kwanza alijikuta akifumuliwa 6-0 na iliyofuata aliambuliwa 6-2 mchezo uliochezwa kwenye dimba la Laver. Ilimchukua dakika 19 tu Serena kupata pointi tano. Serena sasa anasubiri mshindi wa mechi kati ya Euginie Bouchard na Shuai Peng.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako