• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Uingereza lakataa makubaliano ya Brexit

    (GMT+08:00) 2019-01-16 08:48:20

    Bunge la Uingereza limekataa kwa sauti kubwa makubaliano ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, na kufanya mpango wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya kuwa na utatanishi zaidi.

    Baada ya majadiliano ya siku tano wabunge 432 walipiga kura kukataa makubaliano hayo, na 202 walikubali makubaliano hayo, na serikali kushindwa vibaya zaidi bungeni tangu mwaka 1920. Bibi May ana siku tatu kabla ya kuja na mpango mwingine, wakati Uingereza inatarajia kujitoa Umoja wa Ulaya Machi 29.

    Kufuatia kushindwa kwenye upigaji kura huo Umoja wa Ulaya umeitaka Uingereza kutoa ufafanuzi kuhusu nia yake ya kujitoa Umoja wa Ulaya, baada ya makubaliano mapya kukataliwa na bunge la Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako