• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Super Cup Italia-Juventus yafanya kweli, yanyakua kombe

    (GMT+08:00) 2019-01-17 08:55:56
    Bibi Kizee wa Turin Juventus imefanya kweli na kunyakua super cup jana baada ya mchezaji wake mahiri Christiano Ronaldo kusaidia kuifungia goli pekee kwa kichwa dakika ya 61 dhidi ya AC Milan.

    Goli la Ronaldo linamaliza ukame wa miaka minne wa taji hilo, mara ya mwisho Juventus kutwaa taji hili ilikuwa mwaka 2015 na kuweka rekodi kuwa ni klabu ya pekee kutwaa taji hilo mara nane katika historia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako