• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yajitahidi kuokoa mkataba wa makombora ya nyuklia ya masafa ya kati

    (GMT+08:00) 2019-01-17 17:15:08

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavrov amesema, Russia ina nia ya kufanya juhudi kuokoa mkataba wa makombora ya nyuklia ya masafa ya kati na kutumai Marekani kuwajibika zaidi kwa jumuiya ya kimataifa katika suala la kudumisha utulivu wa kimkakati.

    Akizungumza juu ya suala la kusaini mkataba wa amani kati ya Russia na Japani, Bw. Lavrov amesema ili kulinda mkataba wa amani na masuala mengine, nchi hizo mbili zinahitaji kuendeleza uhusiano wa kiwenzi.

    Aidha Bw. Lavrov ameelezea msimamo wa Russia juu ya masuala ya kimataifa yanayofuatiliwa sana kama vile upanuzi wa NATO kwa upande wa mashariki, suala la Ukraine na masuala ya peninsula ya Syria na ya Korea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako