• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SKATING: Mwamko mpya katika mchezo wa kuteleza na viatu vya magurudumu

  (GMT+08:00) 2019-01-18 08:51:33

  Klabu ya mchezo wa kuteleza na viatu vya magurudumu nchini Kenya ya Sprint yenye matawi yake kaunti 20 imejizolea washiriki zaidi ya 150 na mashabiki wengi.

  Mchezo huo umeanza kujizolea umaarufu nchini humo na viunga vyake ambao asili yake ni bara la ulaya. Mkufunzi wa mchezo huo Vincent Muli ameeleza kuwa ameanzisha mchezo huo kusaidia watoto wa mitaani na sasa wanajifua kushiriki mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020.

  Mwaka 2017 klabu hiyo ilishiriki michuano ya klabu bingwa Afrika iliyofanyika nchini Misri na kushika nafasi ya saba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako