• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la Mfalme- Madrid yasonga mbele licha ya kupigwa

    (GMT+08:00) 2019-01-18 08:53:38
    Mchezo wa hatua ya 16 bora kombe la Mfalme nchini Hispania ulipigwa usiku wa jana katika uwanja wa manispaa ya Butarque mjini Leganes.

    Licha ya kufungwa goli 1-0 katika dakika ya 30 ya mchezo, Real Madrid inakwenda robo fainali kwa ushindi wa jumla ya magoli 3-1 kufuatia kuichapa Leganes 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita mjini Madrid.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako