• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya usimamizi wa mawasiliano ya Tanzania TCRA yaanzisha mfumo wa kufuatilia mawasiliano

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:00:19

    Mamlaka ya usimamizi wa mawasiliano ya Tanzania TCRA imesema imerekibisha mfumo wa kufuatilia mawasiliano ya simu (TTMS) wenye lengo la kufuatilia udanganyifu kwenye huduma za simu.

    Mkurugenzi wa TCRA Bw. James Kilaba amesema mfumo huo utakabidhiwa leo rasmi kwa Rais Magufuli katika makao makuu ya mamlaka hiyo. Bw. Kilaba amesema mfumo mpya umekuwa na mafanikio katika kutambua wanaotumia vibaya mawasiliano ya simu pamoja na miamala ya fedha, hali ambayo isingewezekana bila kuwa na mfumo huo.

    Bw. Kilaba amesema shughuli za uchumi zinazihusiana na Tehama zimekuwa zinaendelea kuongezeka, na kufanya kuwe na haja ya kuwa na mfumo imara wa usimamizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako