• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Dunia yapitisha fedha za kuboresha upatikanaji wa umeme nchini Zambia

    (GMT+08:00) 2019-01-18 18:24:14

    Benki ya Dunia imepitisha fedha zenye thamani ya dola za kimarekani milioni 26.5 ili kuisaidia Zambia kuboresha upatikanaji wa umeme hususan katika maeneo ya vijijini.

    Waziri wa Nishati wa nchi hiyo Mathew Nkhuwa amesema, fedha hizo zilizopitishwa chini ya Mradi wa Upatikanaji wa Huduma ya Umeme, utasaidia familia elfu 22 zenye kipato cha chini na kampuni 1000 za ukubwa mdogo na wa kati katika maeneo ya vijijini kusini mwa Zambia.

    Pia amesema, serikali ya nchi hiyo imejizatiti katika kuhakikisha umeme unapatikana nchini kote kama inavyoelekezwa katika mpango wa maendeleo ya jamii na uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako