• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Klabu Bingwa Afrika: Vigogo wa soka Afrika wachezea vichapo

    (GMT+08:00) 2019-01-21 09:30:42

    Mwishoni mwa juma kulichezwa michezo kadhaa ya klabu bingwa Afrika, Simba Sports Club ya Tanzania ilikaribishwa na AS Vita ya DRC. Hakuna aliyeweza kuamini kipigo walichokipata Mnyama wa wekundu wa Msimbazi baada ya kupigwa goli 5-0 kama wamesimama katika mchezo wa kundi D jijini Kinshasa.

    Nao wafalme wa soka Afrika TP Mazembe ya DRC imekubali kipigo cha bao 3-0 dhidi ya CS Constantine mchezo wa kundi C, nayo Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeifunga Wyad Casablanca kwa magoli 2-1 katika kundi A, JS Saoura imeilazimisha sare ya 1-1 Al Ahly katika kundi D.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako