• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki ya Dunia kutumia sh trilioni 5 kwa mabadiliko ya hali ya hewa

  (GMT+08:00) 2019-01-21 21:05:30

  Benki ya Dunia imeweka kando dola bilioni 50 ili kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa duniani kote zaidi ya miaka mitano ijayo.

  Kiwango cha fedha, wastani wa dola bilioni 10 kwa mwaka, ni zaidi ya mara mbili kile mkopeshaji wa kimataifa alitenga wakati wa fedha mwaka 2015-18.

  Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Dunia Kristalina Georgieva katika taarifa yake amesema wataimarisha fedha zao ili kusaidia watu kujenga maisha imara ya baadaye, sana sana masikini na wanaoathirika zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako