• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 11 wafariki dunia baada ya meli kuwaka moto katika Mlango Bahari wa Kerch

    (GMT+08:00) 2019-01-22 08:54:26

    Shirika la Usafiri Baharini na Mtoni la Russia limesema watu wasiopungua 11 wamefariki na wengine 12 wamenusurika baada ya meli mbili kuwaka moto katika Mlango Bahari wa Kerch unaounganisha Bahari Nyeusi na Bahari ya Azov. Jumla ya wanamaji 31 raia wa Uturuki na India waliripotiwa kuwa katika meli za kusafirisha gesi ya LNG zenye bendera ya Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako