• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thierry Henry aomba radhi kwa kumtusi Kenny Lala

    (GMT+08:00) 2019-01-22 10:17:27

    Kocha wa AS Monaco ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ameomba radhi kufuatia kitendo chake kilichonaswa na Camera akitoa lugha ya kumtusi mchezaji wa Strasbourg Kenny Lala wakati wa mchezo dhidi yao uliyomalizika kwa AS Monaco kupoteza kwa kufungwa 5-1.

    Henry alinaswa na Camera wakati wa mchezo huo dakika ya 43 akimtolea kauli Kenny Lala kwa kumtusi bibi wa mchezaji huyo, hata hivyo Henry baada ya kugundua kuwa alinaswa na camera za mchezo huo ameomba radhi wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako