• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Marufuku ya ubashiri kuikosesha serikali bilioni 50

  (GMT+08:00) 2019-01-22 19:42:13

  Huenda seerikali ya Uganda ikapoteza hadi shilingi bilioni 50 za ushuru kila mwaka kutokana na kupigwa marufuku kwa biashara za kubashiri.

  Waziri wa mipango nchini humo David Bahati, ametangaza kuwa rais Yoweri Museveni ameagiza kutosajiliwa upya kwa leseni za kampuni za ubashiri wa michezo.

  Taakwimu za halamashauri ya kitaifa ya ubashiri zinaonyesha kuwa mwaka wa fedha wa 2016/17 serikali ilipata shilingi bilioni 37 kutokana na ushuru wa kampuni hizo.

  Mkurungezi mkuu wa halmahsuri hiyo walisema kuwa mwaka 2019/20 ushuru huo utaongezeka hadi shilingi bilioni 50.

  Baadhi ya mashirika ya kidini yamekuwa yakituhumu waraibu wa ubashiri kwa kujihusisha na uhalifu nyakati za usiku.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako