• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania inatarajia kutoa sensa ya wanyamapori mwezi Februari

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:10:07

    Mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa wanyamapori TAWIRI Bw. Simon Mduma, imesema kuwa ripoti kuhusu makadirio ya idadi ya wanyamapori kwenye hifadhi ya Seluous -Mikumi itatoloewa mwezi ujao. Ripoti hiyo inatarajiwa kutolewa baada ya sensa iliyofanywa kwa ndege tangu mwezi Oktoba mwaka jana, ikiwalenga wanyama wakubwa ikiwa ni pamoja na Tembo na Nyati.

    Sensa hiyo ilifanywa na TAWIRI, mamlaka ya wanyamapori, Mamlaka ya mbuga za Taifa kwa kushirikiana na bustani ya wanyama ya Frankfurt. Sensa hiyo imefanyika kuanzia mwezi Novemba mwaka jana kwenye eneo la kilometa za mraba laki moja. Sensa ya wanyama kwenye eneo la Selous -Mikumi inafanyika kila baada ya miaka minne tangu mwaka 1976.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako