• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yaihimiza jumuiya ya kimataifa kuunga mkono makubaliano ya amani

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:16:04

    Serikali ya Sudan Kusini imeitaka jumuiya ya kimataifa itoe fedha zaidi kwa ajili ya kutekeleza makubaliano ya kurejesha amani.

    Naibu waziri wa mambo ya nje wa Sudan Kusini Bw Deng Malek amesema ingawa maendeleo yamepatikana tangu makubaliano ya kurejesha amani yaliposainiwa mwezi Septemba mwaka jana nchini Ethiopia, bado kuna changamoto ya ukosefu wa fedha inayoikabili katika kutekeleza makubaliano hayo, hali ambayo nchi chache tu zinataka kuunga mkono mpango huo. Wakati huo huo, waangalizi wa amani wa Sudan Kusini wametoa wito wa kuunganisha vikosi kutokana na utekelezaji wa makubaliano hayo kuwa katika kipindi muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako