• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto wawili wauawa, 50 kujeruhiwa katika mlipuko mjini Khartoum

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:23:33

    Polisi wa Sudan wametangaza kuwa, watoto wawili wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea kusini mwa Khartoum.

    Tukio hilo limetokea baada ya mtu mmoja kutupa kifaa cha kulipuka wakati wa sherehe ya harusi mjini Mayo kwenye eneo la Jabal Awliya.

    Pia amesema uchunguzi kuhusu tukio hilo unaendelea chini ya usimamizi wa waendesha mashtaka, akieleza kuwa ushahidi umeonesha kuwa chanzo cha tukio hilo kinahusiana na harusi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako