• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ataka matokeo muhimu katika kazi za kuimarisha mageuzi

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:44:35

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kupatikana kwa matokeo muhimu katika mageuzi katika maeneo muhimu nchini China kabla ya mwaka 2020. Amesema China inatakiwa kuendelea kupambana na matatizo magumu, na kuhakikisha kila shughuli inapata mafanikio na kuweka msingi imara kwa ajili ya kutimiza malengo ya mageuzi yaliyopangwa kwenye kikao cha tatu cha wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 18 ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako