• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 34 wfariki dunia, na mamia hawajulikani walipo baada ya bwawa kuvunjika kingo zake Brazil

    (GMT+08:00) 2019-01-27 16:16:32

    Takriban watu 34 wamefariki dunia, na wengine mamia hawajulikani walipo baada ya bwawa la maji linalomilikwa na kampuni kubwa ya mgodi wa Vale kuvunjika kingo zake Ijumaa mchana katika jimbo la Minas Gerais nchini Brazil.

    Kulingana na idara ya zima moto jumla ya watu 46 wameokolewa Jumamosi asubuhi, 23 kati yao wamejeruhiwa na kupelekwa hospitali. Inakadiriwa kuwa kulikuwa na wafanyakazi wapatao 252 wa mgodi wa Vale, na idadi ya wakazi wa huko ambao hadi sasa hawajapatikana bado haijajulikana. Serikali ya Brazil imeahidi kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na ajali hiyo, na tayari shirika la ulinzi wa mazingira la Brazil limeitoza faini ya real milioni 250 kampuni ya Vale.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako