• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maendeleo muhimu yapatikana kwenye mazungumzo kati ya Marekani na Taliban

    (GMT+08:00) 2019-01-27 16:17:02

    Mwakilishi maalumu wa Marekani anayeshughulikia Maelewano ya Afghanistan amesema kuwa Marekani na kundi la Taliban la Afghanistan wamepata maendeleo makubwa kwenye masuala muhimu baada ya mazungumzo ya siku sita huko Qatar.

    Amefafanua kuwa mazungumzo hayo yamezaa matunda kuliko yalivyokuwa huko nyuma. Hata hivyo, pia ametaja masuala kadhaa yaliyobaki ambayo yanahitaji kufanyiwa kazi, akisema kwamba makubaliano lazima yajumuishe majadiliano ya ndani ya Afghanistan pamoja na kusitisha mapigano. Baada ya mkutano wake na Taliban, mjumbe huyo wa Marekani alikwenda Kabul kwa mashauriano zaidi na serikali ya Afghanistan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako