• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Ufaransa wapongezana kwa kuadhimisha miaka 55 tangu nchi hizo mbili zianzishe uhusiano wa kibalozi

    (GMT+08:00) 2019-01-27 16:24:22

    Rais Xi Jinping wa China na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa leo wamepongezana kwa njia ya simu wakiwa wanaadhimisha miaka 55 tangu nchi hizo mbili zianzishe uhusiano wa kibalozi.

    Rais Xi Jinping amesema, China na Ufaransa zote ni nchi wanachama wa kudumu wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, China inapenda kushirikiana na Ufaransa na kutoa mchango mkubwa zaidi katika kuhimiza amani, utulivu na maendeleo ya dunia.

    Naye Rais Macron amesema anapenda kushirikiana na rais Xi Jinping kuhimiza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili kwenye nishati ya nyukilia, safari za ndege, vyakula vya kilimo na uchumi na biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako