• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Libya yataka kuongeza ushirikiano wa usalama na Ufaransa

    (GMT+08:00) 2019-01-28 10:01:43

    Waziri wa mambo ya ndani wa Libya Bw. Fat'hi Bashagha ametoa wito kuongeza ushirikiano wa usalama na Ufaransa. Akiongea kwenye mkutano wake na balozi wa Ufaransa nchini Libya Bibi Beatrice Du Hellen, Bw. Bashagha amesema Libya inapaswa kuzingatia mafunzo na upangaji mpya wa wanauslama wa wizara ya mambo ya ndani ya Libya katika ngazi zote.

    Kwa upande wake, Bibi Hellen amesifu mpango uliotolewa na Bw. Bashagha wa kudumisha usalama wa mji wa Tripoli.

    Habari zinasema, wajumbe wote 20 wa bunge la Libya wameitisha mkutano kuupigia kura muswada wa kulitambua kundi la Muslim Brotherhood nchini Libya kama kundi haramu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako