• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu elfu 70 washiriki matembezi ya hali ya hewa Brussels

    (GMT+08:00) 2019-01-28 10:31:00

    Watu wapatao elfu 70 wameshiriki matembezi yaitwayo "Rise for Climate" katika barabara za Brussels huku mvua ikiwa inanyesha kwa ajili ya kuishinikiza serikali ya Ubelgiji na Umoja wa Ulaya, kuongeza juhudi za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa. Shughuli hiyo ni matembezi makubwa zaidi kuhusu hali ya hewa nchini Ubelgiji. Wapangaji wa matembezi hayo wamesema binadamu wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi ambayo haijawahi kushuhudiwa duniani na ni lazima wanasiasa wabebe lawama na wajibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako