• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • yaondoa vikwazo dhidi ya kampuni tatu za Russia

    (GMT+08:00) 2019-01-28 19:08:24

    Wizara ya fedha ya Marekani imetangaza kuondoa vikwazo kwa kampuni tatu za Russia kutokana na kwamba zimekidhi sharti lililowekwa na Marekani.

    Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema, kampuni zilizoondolewa vikwazo ni pamoja na ya muungano ya RUSAL Plc, kundi la En+ na kampuni ya nishati ya Siberia ya Ulaya, ambazo zimepunguza hisa za raia wa Russia Bw. Oleg Deripaska.

    Aidha taarifa hiyo imesema kuwa Marekani itaendelea na vikwazo dhidi ya kampuni ya Deripaska.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako