• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: AFCON Vijana U-17-Timu zaanza kujifua, Tanzania hatihati kuwa mwenyeji

    (GMT+08:00) 2019-01-29 07:51:22
    Timu mbalimbali zitakazoshiriki mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 yatakayoanza Aprili 18 mwaka huu nchini Tanzania.

    katika kundi A kuna timu za Tanzania, ANgola, Nigeria na Uganda, huku kundi B lina timu za Camerron, Senegal na Guinea. tanzania inawakilishwa na Serengeti Boys.

    Wakati huo huo Baraza la wadhamini wa shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limesema maswala ya michezo kupelekwa mahakamani kutasababisha Tanzania kufutiwa uenyeji wa mashindano hayo ya AFCON U17.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako