• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kiwanda kipya cha kahwa chakamilika Embu

    (GMT+08:00) 2019-01-29 19:43:24

    Kiwanda kipya cha kahawa katika kaunti ya embu kiko tayari na kitaanza oparesheni mwezi ujao.

    Gavana wa kaunti hiyo Martin Wambora amesema mashine kwenye kiwanda hicho tayari zimewekwa na wakulima wataanza kuuza kahawa yao hivi karibuni.

    Kiwanda hicho kimejengwa kwa ushirikiano wa vyama 24 vya ushirika na serikali ya kaunti ya Embu kwa gharama ya shilingi milioni 130.

    Kitakapoanza oparesheni kahawa yote ya eneo hilo itasindikwa mapaka hatua ya mwisho ya kuuzwa kwenye masoko ya nje moja kwa moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako