• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Msimu mpya RBA kuanza Februari

    (GMT+08:00) 2019-01-30 08:10:54
    Msimu wa ligi ya mpra wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam (RBA) unatarajiwa kuazna mwezi ujao wa Februari mwaka huu kwenye uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es Salaam.

    Jumla ya timu 16 zikiwemo za wanaume na wanawake zinatarjiwa kushiriki katika ligi hiyo, huku makocha wa vilabu vishiriki wakianza kutambiana kuwa na vikosi bora na imara na kila mmoja kuwa na matumaini ya kunyakua ubingwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako