• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RUGBY: Shujaa kumenyana na USA, Canada na Ufarana duru ya Sydney

    (GMT+08:00) 2019-01-31 08:37:32
    Timu ya taifa ya Rugby wachezaji 7 kila upande ya Kenya (Shujaa) imepangwa kundi moja na timu za Marekani, Canada na Ufaransa katika mechi za kundi B za duru ya nne ya Raga ya Dunia itakayofanyika mjini Sydney, Australia Februari 2-3 mwaka huu.

    Vijana wa kocha Paul Murunga wametua nchini Australia kutoka nchini New Zealand walikoshiriki na kumaliza duru ya Hamilton Sevens katika nafasi ya 10 kwa alama saba.

    Shujaa watacheza mechi ya kwanza februari 2 dhidi Canada kisha watavaana na Marekani kumaliza na Ufaransa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako