• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ivory Coast wakubali yaishe AFCON 2023

    (GMT+08:00) 2019-01-31 08:37:48
    Ivory Coast imekubali kuandaa michuano ya mataifa ya Afrika 2023, awali nchi hiyo ilikwenda mahakama ya michezo kuomba kutoondolewa haki yao ya kuandaa michuano hiyo mwaka 2021.

    Rais wa CAF Ahmad Ahmad alimtumia barua ya maombi rais wa Ivory Coast Alassane Outtara na rais huy kukubali ombi hilo. Ratiba kamili ya waandaaji wa mashindano hayo ni AFCON 2019-Misri, AFCON 2021-Cameroon, AFCON 2023-Ivory Coast na AFCON 2025-Guinea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako