• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TENISI: Andy Murray afanyiwa upasuaji, mashakani kurejea uwanjani

  (GMT+08:00) 2019-01-31 08:39:07

  Mcheza tenisi wa Uingereza Andy Murray amefanyiwa upasuaji wa kuunganisha mfupa mdogo ulioachia kwenye nyonga hatua ambayo inaonyesha huenda akastaafu mchezo wa tenisi bila kucheza tena.

  Murray mwenye umri wa miaka 31 na bingwa wa Granda Slam mara tatu, mapema mwezi huu alitangaza kuwa huenda akastaafu baada ya michuano ya wazi ya Asustralia au michuanon ijayo ya Wembledon.

  Madaktari wameeleza kuwa asilimia 90 hadi 95 ya wagonjwa ambao wanafanyiwa upasuaji wa aina hii, wanaondokana na maumivu tena maisha yao yote lakini mpaka sasa hakuna mgonjwa ambaye ametibiwa tatizo hilo na akacheza tena kwa ushindani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako