• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Zimbabwe yasaidia wafanyakazi wake wanaotishia kufanya maandamano kupata nyumba

  (GMT+08:00) 2019-01-31 09:17:26

  Kamati ya huduma za umma ya Zimbabwe na Benki ya ujenzi wa nyumba ya nchi hiyo NBS zimesaini makubaliano kuhusu mkopo wa dola milioni 60 za kimarekani kwa ajili ya mpango wa kuwasaidia wafanyakazi wa serikali kupata nyumba.

  Mpango huo utakaotekelezwa kote nchini humo ni moja kati ya hatua zisizo za kifedha za kuhamasisha wafanyakazi wa serikali wenye kipato cha chini wanaotishia kufanya maandamano.

  Waziri wa huduma za umma, nguvukazi na ustawi wa jamii Bi. Sekai Nzenza amesema serikali inajitahidi kukidhi mahitaji ya wafanyakazi wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako