• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wahamiaji haramu 116 wasafirishwa kwa hiari kutoka Mashariki mwa Libya hadi Nigeria

  (GMT+08:00) 2019-01-31 10:37:03

  Shirika la Uhamiaji la Kimataifa IOM limesema limewasafirisha kwa hiari wahamiaji haramu 116 kutoka mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya hadi Nigeria. Hii ni mara ya kwanza kwa kazi hiyo kufanyika kutoka eneo la mashariki mwa Libya, wakati IOM inatekeleza operesheni hiyo kutoka magharibi mwa Libya, ambako wahamiaji wengi haramu wanapanga kwenda Ulaya kwa kupitia bahari ya Mediterranean.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako