• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yahimiza mchakato wa utungaji wa sheria ya kwanza ya uwekezaji kwa wafanyabiashara wa kigeni

    (GMT+08:00) 2019-01-31 18:47:23

    China inahimiza mchakato wa utungaji wa sheria ya kwanza ya uwekezaji kwa wafanyabiashara wa kigeni.

    Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng hapa Beijing amesema, wizara hiyo itashirikiana na kamati ya kudumu ya bunge la umma la China kufanya vizuri kazi husika za kutunga na kupitisha sheria, ili kuhimiza kutoa sheria hiyo mapema iwezekanavyo.

    Bw. Gao amesema,wizara hiyo itaharakisha kutafiti utungaji wa sheria na kanuni husika zinazolingana na sheria ya uwekezaji wa wafanyabiashara wa kigeni, ili kutekeleza mifumo mbalimbali inayowekwa na sheria hiyo na kujenga mazingira imara zaidi, wazi zaidi, yanayotabirika na yenye ushindani wa usawa kwa uendeshaji wa uwekezaji wa wafanyabiashara wa kigeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako