• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: "Nipo Kamili Gado"- Abraham Kiplimo

  (GMT+08:00) 2019-02-01 09:01:51

  Miaka 5 iliyopita mwanariadha wa kutegemewa nchini Uganda Abraham Kiplimo alikuwa ni mmoja wa wanariadha wanne wa juu wa kutegemewa na taifa hilo.

  Baada ya kushindwa kumaliza mbio za dunia za mwaka 2015 zilizofanyika hapa jijini Beijing kutokana na kupata jeraha la goti, Kiplimo alikaa nje ya uwanja kwa muda wote huo, lakini sasa habari ya kufurahisha kwa mashabiki wa riadha wa Uganda ni kuwa, mwanariadha huyu anarejea dimbani akiwa na nguvu mpya.

  Kiplimo anatarajiwa kuongoza wanariadha wa Uganda katika mashindano yanayotarajiwa kufanyika mjini Doha mapema mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako