• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mageuzi Makubwa Inafanywa Na Serikali Katika Sekta Ya Kilimo Ambayo Itaona Wakulima Wa Mahindi Wakipata Pembejeo Za Kilimo Za Ruzuku

    (GMT+08:00) 2019-02-04 20:34:18
    Mageuzi makubwa inafanywa na serikali katika sekta ya kilimo ambayo itaona wakulima wa mahindi wakipata pembejeo za kilimo za ruzuku kupita vyama vya ushirika Saccos viliyosajiliwa.

    waziri wa fedha Henry Rotich ameomba wakulima kuwa na subira mpaka mageuzi yanayoendelea yamekamilika.

    Amesema wakulima wa mahindi, watanunua mbolea chini ya mpango wa ruzuku ya serikali kupitia vyama vyao viliosajiliwa katika harakati za kumaliza wafanyibiashara wasio halali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako