• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watazamaji wa tamasha la mwaka mpya wa jadi wa kichina lililoandaliwa na CMG yazidi bilioni 1.17

    (GMT+08:00) 2019-02-06 08:59:34

    Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya watu waliotazama tamasha la mwaka mpya wa jadi wa kichina lililotolewa jana na Shirika kuu la Utangazaji la China CMG imefikia bilioni 1.173, na kuvunja rekodi katika historia.

    Takwimu hizo pia zinaonesha kuwa, asilimia 96.98 ya watazamaji wamesifu tamasha hilo la mwaka huu, hali ambayo imelifanya liwe tamasha linalowapendeza zaidi watazamaji katika miaka ya hivi karibuni.

    Likiwa tamasha la kwanza lililoandaliwa na CMG tangu lianzishwe kwa shirika hilo mwaka jana, tamasha hilo la kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa kichina limetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya shirika la zamani la televisheni la CCTV, shirika la zamani la radio kuu la China, na Radio China Kimataifa ya zamani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako