• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Serikali ya Tanzania yalipa dola milioni 183 kwa wakulima wa korosho

    (GMT+08:00) 2019-02-06 15:19:02
    Serikali ya Tanzania imetoa dola milioni 183 za kuwalipa wakulima wa korosho.

    Hadi mwishoni mwa januari serikali ilikuwa imenunua tani 134,535 za korosho za thamani ya shilingi bilioni 424.

    Naibu waziri wa kilimo Omar Mgumba amesema kuwa pesa hizo zimelipwa moja kwa moja kwenye akaunti za wakulima.

    Mgumba amesema hadi sasa wakulima 390,000 wamelipwa na vyama vya ushirika 603 vimepokea malipo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako