• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Rwanda kutumia Rwf5bn kuchapisha noti mpya

    (GMT+08:00) 2019-02-08 18:38:12
    Benki Kuu ya Rwanda itazindua sarafu mpya za noti za Rwf500 na Rf1,000 wiki ijayo.

    Hii ni kufuatia agizo la Rais la kutoa noti mpya mwezi Januari.

    Kulingana na Gavana wa Benki Kuu ya Rwanda,John Rwangombwa,noti hizo mpya zitaigharimu serikali ya Rwf1.6 bilioni kila mwaka kwa muda wa miaka mitatu ijayo na kufanya jumla ya gharama zote kuwa Rwf5 bilioni.

    Kampuni ya Ujerumani ya G+D ndio iliyopewa dhamana ya kuchapisha noti hizo mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako