• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya Moyo wa Shaolin katika tamasha la CMG la sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China yawavutia watu wote

    (GMT+08:00) 2019-02-09 16:27:46

    Katika tamasha la sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China wa 2019 lililoandaliwa na Shirika Kuu la Utangazaji CMG, maonesho ya Moyo wa Shaolin yaliyofanywa na wanafunzi 20,000 wa shule ya Wushu ya Tagou ya Shaolin huko mkoani Henan yaliwashangaza watu wote, na wengi wao wakiona maonesho hayo ni ya ajabu.

    Ulipenda maonesho hayo? Umeshangazwa na maonesho hayo?

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako