• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Venezuela yafanya mazoezi makubwa ya kijeshi

    (GMT+08:00) 2019-02-11 18:32:18

    Jeshi la Venezuela jana limefanya rasmi mazoezi makubwa ya kijeshi ili kuonesha nia thabiti ya kupinga uingiliaji kutoka nchi za nje.

    Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema, serikali yake itahakikisha imewekeza zaidi katika jeshi ili kuhakikisha mahitaji ya utaratibu wa ulinzi wa anga ya nchi hiyo.

    Pia amesema, Venezuela ina haki ya amani kwani watu wa Venezuela wanapenda amani, na kwamba nchi hiyo haitakubali kutishiwa au mambo yake ya ndani kuingiliwa na mtu au nchi yoyote. Amelitaka jeshi na watu wa Venezuela kushirikiana ili kukinga mashambulizi ya Marekani dhidi ya nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako