• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wasomi wa Kenya watoa wito wa kuhimiza lugha mama

  (GMT+08:00) 2019-02-12 09:41:00

  Wasomi wa Kenya wamerudia wito wa kuhimiza kujifunza lugha mama. Profesa wa lugha ya Kiingereza na fasihi linganishi katika Chuo Kikuu cha California Ngugi wa Thiong'o amesema wakenya wanaangalia sana kujifunza lugha za kigeni badala ya lugha zao mama, lakini kujifunza lugha mama kunaweza kuhimiza tamaduni na thamani za jadi. Ameongeza kuwa kufahamu lugha zote duniani isipokuwa lugha mama ni utumwa wa kisaikolojia. Naye profesa wa fasihi katika Chuo Kikuu cha Nairobi Wanjiru Kabira amesema Wakenya hawapaswi kuzionea lahaja za kienyeji na kuzichukulia kuwa lugha za chini kuliko lugha za kigeni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako