• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 50 wa IS na SDF wauawa katika mapambano mashariki mwa Syria

    (GMT+08:00) 2019-02-14 09:03:55

    Wapiganaji zaidi ya 50 wa jeshi la SDF la Syria linaloungwa mkono na Marekani na kundi la Isamic State wameuawa katika mapambano ya siku nne zilizopita mashariki mwa Syria. Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria limesema kwa sasa wapiganaji wa IS wamezingirwa na jeshi hilo katika eneo la kilomita mbili za mraba katika eneo la mashariki mwa mto Euphrates.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako