• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MBIO ZA MAGARI: Madreva Mangat na Blick Jr wafanya kweli

  (GMT+08:00) 2019-02-14 09:05:57

  Madreva Jas Mangat na msaidizi wake Joseph Kamya, nao Arthur Blick Jr akisaidiwa na Unisan Bakunda wote wakiendesha magari aina ya Mitsubishi Evo Xs wameonyesha umwamba wao katika mashindano ya magari ya Mbarara yaliyofanyika mjini Mbarara Uganda.

  Mangat na msaidizi wake wameongoza kwa kupata alama 100, huku Blick Jr na msaidizi wake wao wamejipatia alama 70. Madreva wengine Alwi amepata alama 70, Ssebuguzi alama 60 na Kikankane amepata alama 50.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako