• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Duru mpya ya mazungumzo ya kibiashara ya ngazi ya juu kati ya China na Marekani yafanyika Beijing

  (GMT+08:00) 2019-02-14 09:39:17

  Duru mpya ya mazungumzo ya kibiashara ya ngazi ya juu kati ya China na Marekani yatakayofanyika kwa siku mbili yamefunguliwa leo asubuhi hapa Beijing.

  Ufunguzi wake umeendeshwa kwa pamoja na naibu waziri mkuu wa China Bw Liu He ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa China kwenye mazungumzo, na mjumbe wa mambo ya kibiashara wa Marekani Bw Robert Lighthizer na waziri wa fedha wa Marekani Bw Steven Mnuchin.

   

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako