• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ligi kuu Tanzania Bara- Kagere apeeka kilio Jangwani, Simba wawafunga mdomo Yanga

  (GMT+08:00) 2019-02-18 08:27:57

  Hatimaye zile tambo za watani wajadi Simba na Yanga zimefikia tamati katika msimu huu wa ligi kuu Tanzania Bara siku ya Jumamosi baada ya Simba Sports Club kuifunga Yanga Sports Club goli 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

  Alikuwa mshambuliaji Yule Yule aliyewapa maumivu Al Ahly ya Misri, Meddy Kagere wa Simba ndio aliowapa kilio wanajangwani katika dakiak ya 71 ya mchezo ambao uliteka hisia za watu wengi Afrika Mashariki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako