• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana U-20 yafika tamati-Mali yabeba ndoo

  (GMT+08:00) 2019-02-19 08:23:04

  Fainali za michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 imefikia tamati nchini Niger kwa timu ya taifa ya Mali ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 kutwaa ubingwa wa mashindano hayo baada ya kuichabanga timu ngumu ya taifa ya Senegal katika mchezo wa fainali.

  Mashindano hayo yamefanyika nchini Niger na kuhudhuriwa na timu kadhaa toka barani Afrika. Afrika kusini imekamata nafasi ya tatu baada ya kuifunga Nigeria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako