• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" laisaidia Russia kutekeleza miradi ya taifa

  (GMT+08:00) 2019-02-21 19:54:10

  Waziri wa maendeleo ya uchumi wa Russia Bw. Maksim Oreshki amesema, pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" la China linaisaidia Russia kutekeleza miradi ya taifa, na kupungua vikwazo dhidi ya kuunganisha Umoja wa Uchumi wa Asia na Ulaya na pendekezo hilo kunasaidia kuendeleza uchumi wa Ulaya na Asia.

  Bw. Oreshki amesema, Russia na China zinapaswa kuhimiza kuunganisha sekta ya uchumi na kuondoa vikwazo, na Russia inataka kupunguza vizuizi vya mawasiliano ya bidhaa, huduma na watu wenye vipaji katika sekta ya uchumi wa nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako