• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Duru ya saba ya mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yafunguliwa Washington

  (GMT+08:00) 2019-02-22 09:27:52

  Mjumbe maalumu wa rais wa China Bw. Liu He na mjumbe wa biashara wa Marekani Bw. Robert Lighthizer, pamoja na waziri wa fedha Bw. Steven Mnuchin wameongoza ufunguzi wa duru ya saba ya mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani katika ikulu ya Marekani huko Washington. Mazungumzo hayo yanafanyika kwa siku mbili na timu za pande mbili zilianza majadiliano mwanzoni mwa wiki hii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako