• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda Tea yafadhili Tour du Rwanda

  (GMT+08:00) 2019-02-25 19:59:14

  Kampuni ya Chai ya Rwanda Tea imetoka franc milioni 61 kufadhili mashindano ya baiskeli nchini humo Tour du Rwanda.

  Mkurungezi wa halmashauri ya kuza nje bidhaa za kilimo George William Kayonga, amesema hatuya hiyo inalenga kuimarisha umaarufu wa chai ya Rwanda ambayo ni mojawepo wa bidhaa muhimu za kuiletea nchi hiyo mapato ya kigeni.

  Katika miezi 3 ya kwanza ya mwaka wa fedha 2018-2019, mauzo ya nje ya chai ya Rwanda yaliongezeka kwa asilimia 7 ikilinganishwa na 2017-2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako